Hatuwezi kurudisha mda nyuma, lakini tunaweza kukuza misitu, kuhuisha vyanzo vya maji, na kurejesha udongo. Sisi ni kizazi ambacho kinaweza kufanya amani na ardhi.
Ā
Pitia hafla na shughuli za Siku ya Mazingira Duniani kote ulimwenguni
Mambo mazuri na ya ajabu kuhusu mifumo ya ekolojia ya nchi kavu
Habari za hivi karibuni na za sasa kuhusu Siku ya Mazingira Duniani Mwaka wa 2024
Siku ya Mazingira Duniani mwaka wa 2023 iliangazia masuluhisho ya kukumesha uchafuzi wa plastiki. #KomeshaUchafuziWaPlastiki
Katika mwaka wa 2022, kaulimbiu ilisisitiza #DuniaMojaTu na umuhimu wa kupatanisha watu na mazingira.
Katika mwaka wa 2021, kaulimbiu ilitoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za kimataifa za dharura za kuhuisha mifumo yetu ya ekolojia iliyoharibiwa. #GenerationRestorationĀ