Ripoti na machapisho

Ripoti na machapisho haya yanahusiana na kampeni ya Siku ya Mazingira Duniani mwaka wa 2024.

Hali ya Misitu Duniani: Misitu, Bayoanuai na Watu

Tulipokuwa tunakamilisha Hali ya Misitu Duniani Mwaka wa 2020 (SOFO), ulimwengu ulikabiliana ana kwa ana na changamoto ambazo hazijawahi kushuhudiwa za janga la COVID-19. Ingawa kipaumbele cha haraka cha kimataifa ni kushughulikia janga hili kwa afya ya umma, mwiitikio wetu wa muda mrefu lazima pia…

Kujiunga na #GenerationRestoration Kuboresha Mifumo ya Ekolojia kwa manufaa ya Watu, Mazingira na Hali ya Hewa

Kujiunga na #GenerationRestoration: Kuboresha Mifumo ya Ekolojia kwa manufaa ya Watu, Mazingira na Hali ya Hewa hukusanya ushahidi kuhusu hali ya uharibifu wa mifumo ya ekolojia duniani na kutoa maelezo kuhusu manufaa kwa uchumi, kwa mazingira na kwa jamii yanayoweza kusababishwa na uboreshaji…