Pata masuluhisho.
UNEP

Mwongozo huu wa vitendo umeundwa kusaidia kila mtu kushiriki katika uboreshaji wa mifumo ya ekolojia.

Umepangwa katika sura kadhaa kama vile mifumo ya chakula, mifumo ya ekolojia ya maji safi, makazi ya binadamu kama vile miji na mwisho, wanadamu ikijumuisha biashara, serikali na raia wa kawaida.

Jiunge na #GenerationRestoration
image

Hizi hapa ni baadhi ya njia ambazo sote tunaweza kutumia ili kujiunga na #GenerationRestoration.

Mwongozo huu unaonyesha njia nyingi ambazo sote tunaweza kushirikiana kutumia ili kusaidia mazingira kwa kuchukua hatua leo, kufanya maamuzi bora na kuhamasisha kuhusu uboreshaji wa mazingira. 

Hatuwezi kurudisha muda nyuma, lakini tunaweza kukuza misitu, kupanda mimea katika miji yetu, kuteka maji ya mvua na kula vyakula visivyoharibu udongo. Sisi ni kizazi ambacho kinaweza kufanya amani na ardhi

image