Maelifu ya watu kutoka katika pembe zote za dunia wanazungumza na kutueleza ni kwa nini tunapaswa kutunza mazingira. Tueleze ni kwa nini unapenda mazingira na kile unachofanya kuyashughulikia ukitumia hashtagi #ForNature au #TutunzeMazingira.